Dua kwa wapenzi wa lugha, waenzi ya kwao

wapenzi wa lugha, waenzi cha kwao

Mola akupeni hifadhi,   mlipo muhifadhike
Akupeni na zake radhi,  mkae msitirike
Kwa kila lenye kuudhi,  daima likuepukeni
Muishi muwe na hadhi,  kwa waja muheshimike
Hapa juu ya aridhi ,  na akhera mtukuke.

 

Comment

Leave A Comment

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 23,432 other subscribers

Copyright 2019 - Let's Write. All Rights Reserved

%d bloggers like this: