Furaha

Wakati mwingine tunapenda kupewa furaha kutoka kwa watu ndio maana tunaumizwa sana, furaha hutengenezwa ndani yako wewe kwanza kuwa chanzo cha furaha yako.

Watuwengi wanapata misongo ya mawazo tena vijana wadogo kwa sababu wameweka furaha mfukoni mwa mtu mwingine kwa mfano unataka furaha kutoka kwa Girlfriend anakucheat unajinyonga, unataka furaha kutoka kwa ndugu/marafiki/mpira siku wakikukataa /vikiku kataa unaona ufahi katika jamii, ulisha jiuliza kwanini duniani ulikuja pekee yako na utaondoka pekee yako,kwasababu Mungu alijua kila binadamu aliyemuamba atakuwa na hurka/tabia yake pekee yake,furahia wakati uliokuwa nao,fanya kazi kwa bidii,pata hela saidia wasio na kitu then ishi maisha yako ☺️

Comment

Leave A Comment

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 23,432 other subscribers

Copyright 2019 - Let's Write. All Rights Reserved

%d bloggers like this: