IPO SIKU ITAJIPA

Ushawai kuwa route 11 halafu ucheki msee anamanga meei na hauoni msee anakinda meei inabidi umuulize meei inakindwa wapi juu route 11 bila meei haiwezi, kuuliza hiyo swali ni same na kuuliza password ya WiFi.

Usishangae joo najua hizi maneno hii Nai joo waa tumepiga route 11 mbayiaa!

Mm nimekinda mazinye, nimekinda ngwashe nimekinda ndula za waresh kutoka wathii nimekinda smokie nimeprint tishoo nimepiga wera ka guocho list ni refu 😂. Lakini hizi rieng’ zote zimenijenga Sana.

Brathe ama siste haijalishi hustle unapiga saa hii swali ni unadai life better than ya saa hii
Unaweza brathe ! hawa wasee unacheki wakona ganji ama wanapiga sherehe vile unataka wanavaanga trao mguu moja then ingine kama tu wewe.

Kuna vitu tu kiasi unafaa kuchange lakini…

– vile unafikiria, ukifikiria huwezi ushadunda
– unawatch ? Unaskiza? Ukiweza kusoma ama hata kujifunza kitu moja daily itakupeleka far
– usipige wera ukiget ganji yote unapeleka kwa Sherehe
– Heshimu wasee huwezi jua msee atakam kukuorea aje
– Relationship yako na Allah iko aje?

Kama ukona swali yeyote ntafurahia Sana kuhelp, bora usinitiishe ganji Mimi pia natafta ganji 😂.

Leave A Comment

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 23,260 other subscribers

Copyright 2019 - Let's Write. All Rights Reserved

%d bloggers like this: