Maisha Ni Safari

Maisha ni safari ambayo haijalishi kiatu gani umevaa but wapi unataka kufika.
Nakumbuka the first time nlifika south C, read to the end place naongelea the next time in South C.
Hii story ni kwa kijana yeyote akona dreams but anaona nikama iko far sana yeye hawezi make it. Na pia
wale wakipata setbacks sana give up.
Nakumbuka hii siku kama jana tukiwa na mbogi yangu tumekaa juu ya mawe back in 2007 tumemaliza
high school then post election violence ikahappen, hiyo stuff ilifanya life ikawa hard sana mostly kwa
vijana wa ghetto kama sisi wazazi hawana uwezo ya kutupeleka college na baada ya violence hakukua na
hope hata ya kibarua because hata wale walikua nayo iliisha hata mjengo.
Life ilkua imetupiga boxing, shida ilkua nyingi kama locust hadi tukashindwa ni kila mtu akona shida ama
ni sisi tumechaguliwa tukue funzo kwa watu wengine? the best thing is that tulidream of a better life
and we were ready kufanya whatever it takes as long as sio crime, kitu ilifanya mtaani tuonekane
mafala but sisi tuijua mafala ndio uishi. Saa zingine Mimi ukumbuka hizi siku natokwa machozi vile Allah
ametutoa far.
Then siku moja boys wangu Leo akakuja na page ya gazeti ilkua na advert ya Redcross wanataka
volunteers weeh hapo tukawa nikama stima zimerudi, kwa mind tukaanza ku paint picture vile red cross
itatuzungusha Kenya mzima tunaambiana hata kama ni volunteer si lazma watoe “ gonyment” (
allowance) weeeh tulkuja kujua red cross ni Red Cross.
The next day sisi hao nayo nayo hatukai saana, nakumbuka between the 2 of us tulikua na 100 bop
tulitrekii kutoka glucola hadi kariobangi tukasmama kwa mat tukalipa 20, 20 kusmama ilkua 20 kukaa 30
sisi hao mpaka kariakor then tukatembea mpaka branch ya redcross iko hapo st peters kufika
tukaambia, kazi iko lakini main office huuuuuko south C.
Atafutaye hachoki tuliangalia mahali tunafaa kwenda na jua saa hiyo imeweka tukaona hii ni ngumu,
lakini tukaangalia mahali tumetoka tukaona home njaa imewaka kushinda jua.
Ikabidi route 11 mpaka south C tulijaribu kuangalia jua na macho Kali ipunguze makali but jua ikona
macho jeuri hata haikujali, saa hiyo hatujui machuom ( short cuts) tulifwata lami kama gari hadi
tunazunguka roundabout lol,sisi hao Uhuru Highway then Mombasa rd mwanaume ni ma shida.
Kufika hapo south C tukapata receptionist mmoja chalii akatuchangamkia “ Karibuni niwasaidie vipi?
Tukamwambia “’tumeskia kuna kazi ya volunteers “
“ eeeh yes iko,/unaitwa nani?/ akatwandika majina faster faster akatwambia mmechukuliwa,
tukashangaa haraka aje ( ushawai omba mtu 50 akakupea haraka uka wish ungeomba 200?/hivo ndio
ilkua sisi tulidhani tutaongea kidogo tu negotiate allowance hata. Anyway since tumejileta wenyenwa
wacha tuendelee”
Hiyo place kulkua na kazi mob sana, gari ilkua inakuja imejaza unga mnabeba ma bundles hadi mabega
inawaka moto mkienda kumalizia hivi mnadhani mtapumzika gari ingine inafika, tuliskia kulia.
Ikafika lunch time waah tuliletewa chai tupu kwa ile mtungi ya dispenser na haina hata sukari badala
hata wangetuletea stoney ama krest tukunywe soda Kali kama maisha yetu.

Jioni vile ilifika ndio tukajua hakuna allowance but watu wanajilipa, watu walikua wamedonate Mali ya
bei hapo weeh tukajionea kuna watu wakona pesa the same way sisi hatuna, so maveteran wa hapo
walikua wanachagua nguo Kali then wanavaa either wanatoa ile wamevaa ama kama ni light anavaa juu
ya ile amevaa coz watchman hawezi kubali utoke kama umebeba any kuna jamaa mmoja nakumbuka
vizuri alitoka na suti moja ya grey 3 piece na viatu nomaaa za black weeh. Mimi na Leo tukaangalia
tukasema hizi nguo zetu tumevaa hata kama sio noma but tumebuy na pesa yetu hatuwezi wacha hata
kiatu tukapanga the next day tutakuja na nguo na viatu zimechapa ndio tuexchange.
Kurudi pia tukatembea hadi tao, kufika home nakumbuka nikipigia mama yangu story akaona ni kama
kijana wake amepata kazi akaanza tu “ asante mungu, asante mungu…”
Next day tulipitia kwa kibanda ya matha alikua anauza chapo madodo akatujenga machapo at least hiyo
chai yao kama maji ya dispenser ikikam tukue na kitu ya kuteremsha nayo.
Nguo tulivaa sanasana viatu wacha tu zilikua zile unavuta mguu chini coz ukiinua utawacha sole chini
tukapambana na hali yetu hadi south C watu wakituangalia kwa barabara nlikua najimbia tu boss ukue
hapa jioni pia uone suti yenye nitarudi nayo, nlikua nimepiga picha vile nitavaa suti moja ya blue black
sharp shooter yaani in my mind nlikua nishavaa suti I think nlikua the first in my family kuvaa suti hata
kwa mind.
Tukafika hapo kwa reception tukapata ule chali wa Jana akatupea look ingine nikama ameona wale
wasee wa walking dead.
Ikabidi tuanze kuji introduce tena, before tumalize aka tuinterupt “ kwani hamkuambiwa? “ kuambiwa
nini?
“ Leo hakuna job “ weeeeh, tulisha pums kama balloon pfffffff. Magoti ikaisha nguvu ikabidi tukae chini
tutafune chapati at least magoti ipate nguvu kwanza.
The time hii story iki happen I thought places kama South C Langata Karen ni za type flani ya watu. How
wrong I was.
The best part of this story is Na iandika nikiwa in my small cottage in South C. Mungu amenitoa mbali.
1. This is for everyone who feels Hawezi mtu anafeel something’s kwa life ni za watu type flani.

Mimi siwezi ishi huko. All of us are born the same way dumb naked and speechless.
2. Fail your way to success ukipata challenge moja sio mwisho wa maisha, sisi next time tuliskia
kuna opportunity ingine tulienda hatukuchoka
3. Attitude : usiwe mtu akiona opportunity kwa gazeti or social media unaona wewe huwezi make
it because hauna mtu huko eti watu wangapi wata apply. Uki apply at least kuna chance hata
kama ni kidogo usipo apply hakuna chance.
4. Apply hata kama hauna certificate.
#Unaweza
My grandma always alikua ananiambia,” mjukuu wangu hakuna mtu anakuanga amewekelewa mawe
kwa kichwa utakuwa na mali sana” Mali bado sijaona, lol.

What she meant is that everyone can make it.
#Unaweza

Comments (2)

Leave A Comment

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 23,260 other subscribers

Copyright 2019 - Let's Write. All Rights Reserved

%d bloggers like this: