Mbona huoni tangazo la mafuta taa kwenye TV

Thamani ya vitu sio sawa. Hali kadhalika watu pia.

Jipe thamani kwa kufanya mambo yako kimya ila ongeza thamani utakiwe hata bila kujisifia. Kujitangaza sana ni dalili ya kuwa duni.

Pata mfano toka kwa mafuta ya taa. Ijapokuwa yana thamani na yanatakiwa kila siku, Maisha yako umeshawahi kuliona tangazo la mafuta ya taa kwenye TV au Gazeti?

Kwa hilo pana funzo

Leave A Comment

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 23,432 other subscribers

Copyright 2019 - Let's Write. All Rights Reserved

%d bloggers like this: