Usihuzunike

✍🏽 Usihuzunike, kwani hakika ya dunia ni fupi sana. Hivyo hakuna muda wa kuhuzunika.

✍🏽Daima fanya  subira na ustahimilivu na uingoje kheri toka kwa mola wako

✍🏽Kwani kumbuka hata Nabii Yusuf juu yake hakuwa Mfalme wa Masri ila baada ya kupewa mitihani na kuwekwa gerezani.

✍🏽Pia tambua kwamba: lau hakika yeye asingetupiwa ndani ya kisima wakati huo asingekua Masri na asingefika.

✍🏽Viashirio vyoote vya vilivyomkuta  vilionyesha kuangamia kwake.

✍🏽Lakini kumbe yote hayo yalikua ni utangulizi wa yeye siku zijazo kuja kua Mfalme wa Masri.

✍🏽(Basi hata mitihani uliyonayo) huenda ikawa kheri bila ya wewe kujua.

BASI USIHUZUNIKE, HAKIKA YANAKUUMIZA HUENDA KESHO TU YAKAKUTIA FURAHA.

Hakika katika hayo yapo mazingatio kwa wenye macho.

 

Comment

Leave A Comment

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 23,432 other subscribers

Copyright 2019 - Let's Write. All Rights Reserved

%d bloggers like this: