Usihuzunike

Ni Kawaida na  desturi boti/dau kua juu ya Maji,Ila Ni hatari maji kua ndani ya boti/dau.

Moyo wako Uwe katika dunia,Ila tahadhari dunia isiwe mwoyoni mwako.

Uhai ni mfano wa Riwaya/kitabu,kila siku Ni kurasa mpya.

Iwapo ukurasa wa leo utakuhuzunisha,tambua ukurusa wa kesho utakufurahisha.

Kwa hivyo usiishi ukiwa Na dhiki kwani baada ya dhiki faraja,
Furahika Na Maisha,mwachie yote Allah.
Usihuzunike,Giza linapozidi alfajir yakaribia.


Hassan Aboud

A nurse practitioner who has dedicated his life to serving humanity. He is afriend, humanitarian, mentor and a listener struggling to make his mind and heart work together to make the best Impact in society. Aboud is widely recognized for his selflessness,straight forward speaking-style and love. He loves to write and inspire people.He has Always seen a better world for mankind.

Leave A Comment

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 23,260 other subscribers

Copyright 2019 - Let's Write. All Rights Reserved

%d bloggers like this: