Usikate Tamaa

Baadhi ya mida, utahisi kukosa matumaini. Ilhali baadhi ukahisi kukosa kuthaminika na kukatushwa tamaa kufikia maazimio na malengo.

Tambua kuwa muhimu ni kujikita katika malengo uliojiwekea na kuzidisha bidii. Tamaa na matumaini ndio umeme unaoiwasha tabasamu na matumaini ya maisha.

Matumaini yataregeshwa tu kwa kukumbuka manufaa ya malengo yako na kuwapuuza wote wanosema ‘huwezi’ na  ‘ haiwezekani’.

Ni kweli haiwezekani, lakini katika kipimo chao na uwezo wao, sio wako wewe

Leave A Comment

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 23,290 other subscribers

Copyright 2019 - Let's Write. All Rights Reserved

%d bloggers like this: