UBUNIFU

UBUNIFU (CREATIVITY)

Ubunifu ni utumiaji wa mawazo mbalimbali katika njia ya asili au ya kufikirika ili kuleta vitu,bidhaa au jambo jipya(-lioboreshwa), hususani lile lenye thamani au ubora zaidi ya la kwanza.

Ubunifu ni sifa mojawapo ambayo huwa inafit katika mambo mbalimbali yenye nia ya kuchochea maisha ya furaha.

Ubunifu upo katika mapenzi,biashara, elimu (mafunzo) n.k
Ili kuhakikisha unasonga mbele buni vitu vipya pamoja na kuboresha vile ulivyo navyo ili uyafurahie maisha.

Ubunifu hauna kikomo kwa mtu anayetazamia kuongeza thamani katika maisha.


Elisha Nassary

History is a part of my story.

Leave A Comment

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 23,260 other subscribers

Copyright 2019 - Let's Write. All Rights Reserved

%d bloggers like this: